• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afisa mwandamizi amesisitiza kuwepo juhudi za kupambana na ugaidi na kujitenga

  (GMT+08:00) 2018-02-12 18:55:54

  Juhudi za kupambana na ugaidi na kujitenga zinapaswa kupewa kipaumbele mkoani Xinjiang ili kuhakikisha amani na utulivu vinadumu.

  Hayo yamesemwa na mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC wa mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur Bw. Chen Quanguo.

  Bw. Chen pia ametoa wito wa kuwepo nguvu ya kudhibiti mipaka ili kulinda usalama mkoani humo na kusema zaidi ya watalii milioni moja wa ndani na nje walitembelea Xinjiang mwaka jana, ikiashiria kuwa hali ya jumla ya mkoa huo ni tulivu.

  Ameongeza kuwa umoja wa kikabila ndio ngao muhimu ya makundi yote ya kikabila, na mkoa huo unafanya juhudi kuendeleza mshikamano kupitia elimu na kuheshimu watu wa mfano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako