• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yafanikiwa kurusha satilaiti mbili za uongozaji safari wa BeiDou

  (GMT+08:00) 2018-02-12 20:10:18

  China imefanikiwa kurusha satilaiti mbili katika anga ya juu kwa kutumia roketi moja ya uchukuzi kwa ajili ya Mfumo wa Uongozaji Safari wa BeiDou.

  Baada ya kusafiri kwa saa zaidi ya tatu, satilaiti hizo zimeingia kwenye mzunguko uliopangwa, baadaye zitafanyiwa ukaguzi wa jumla na tathmini ya jaribio na pia kuunda mtandao kwa kuungana na saitilaiti nyingine nne zilizorushwa awali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako