• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: kamati ya bunge ya omba serikali kuondoa kodi ya mikopo ya pembejeo za kilimo

  (GMT+08:00) 2018-02-12 20:13:59

  Kamati ya Bunge kwa Ufugaji wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi imetoa wito kwa serikali kuondoa kodi ya mikopo ya pembejeo za kilimo inayoungwa mkono na sekta binafsi ya kilimo ili kuwezesha mkopo huo kufikia wakulima zaidi.

  Mwenyekiti wa Kamati, Dkt: Mary Nagu, amesema kuondolewa kwa kodi hiyo kwa mikopo ya pembejeo za kilimo itaendeleza sekta ya kilimo na, pia itaimarisha uzalishaji katika sekta ya kilimo huku wakulima wengi wakifaidika na mkopo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako