• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Ada za umeme za tarajiwa kupanda tena

  (GMT+08:00) 2018-02-12 20:14:41

  Wakenya wanatarajia ada za umeme kupanda tena kutokana na ukame wa hivi sasa.

  Hii ni licha ya kuendelea kuongezeka kwa bei ya umeme kwa zaidi ya mwaka ambayo imehusishwa na ukame wa mwaka 2017.

  Wizara ya Nishati juma juma lililopita ilisema mtambo wa kuzalisha umeme, ikiwa ni pamoja na Sondu Miriu na Seven Forks huko Embu, viwango vyake vya maji viko chini sana.

  Waziri wa Nishati Charles Keter amesema kuna uwezekano wa kufunga kituo cha uzalishaji umeme kinachotegemea Masinga Dam katika wiki zijazo kutokana na kiwango cha chini cha maji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako