• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa Botswana aapa kufufua na kuimarisha uhusiano na Zimbabwe

  (GMT+08:00) 2018-02-13 08:09:35

  Rais Ian Khama wa Botswana ameapa kufufua na kuimarisha uhusiano kati ya nchi yake na Zimbabwe.

  Rais Khama amemwambia rais Emeerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye yuko katika ziara ya siku mbili nchini Botswana kuwa, nchi yake inathamini sana uhusiano na Zimbabwe na kuichukulia kama ni rafiki maalumu katika eneo hilo. Pia amesema Botswana iko tayari kuiunga mkono Zimbabwe katika safari yake mpya ya mageuzi ya kiuchumi na amani na ustawi kwa maisha bora ya Wazimbabwe.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako