• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uwanja wa ndege wa Dubai kutoa visa za muda kwa abiria wanaobadilisha ndege

  (GMT+08:00) 2018-02-13 08:10:03

  Abiria wanaobadilisha ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai watapewa visa za muda.

  Mkurugenzi wa 10X 2.0 wa Dubai, mpango ambao unalenga kuzifanyia mageuzi idara zote 36 za serikali za Dubai Amer Abdul Raoof amesema visa hizo zitatolewa kwa watu kutoka nchi karibu zote duniani. Mwaka jana, uwanja wa ndege wa Dubai ulilinda nafasi yake kuwa na pilika nyingi zaidi duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako