• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ukarabati nchini Iraq wahitaji dola za kimarekani bilioni 88.2

  (GMT+08:00) 2018-02-13 08:10:30

  Waziri wa mpango wa Iraq Salman Al Jumili amesema ukarabati nchini humo unahitaji dola za kimarekani bilioni 88.2. Amesema thamani ya uharibifu uliotokana na operesheni za kijeshi dhidi ya kundi la IS imefikia dola za kimarekani bilioni 45.7, na sekta zilizoathiriwa zaidi nchini humo katika vita hiyo ni pamoja na nyumba, umeme, viwanda, biashara, mafuta, gesi na usafiri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako