• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ongezeko la biashara ya dunia lakadiriwa kuendelea katika robo ya kwanza

  (GMT+08:00) 2018-02-13 08:10:53

  Shirika la Biashara Duniani WTO limesema ufufukaji wa biashara wa mwaka jana unaweza kuendelea kwa ongezeko imara la wigo wa biashara katika robo ya kwanza ya mwaka huu. Viashiria kuhusu thamani ya hivi sasa vilivyomo kwenye ripoti ya mustakbali wa biashara wa dunia iliyotolewa na WTO ni 102.3, ambayo ni ongezeko kidogo kutoka 102.2 iliyorekodiwa mwezi Novemba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako