• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Halima mwende ashinda ubingwa wa mashindano ya Nakuru, na Njuguna ashinda ubingwa kwa upande wa wanaume

  (GMT+08:00) 2018-02-13 09:03:03

  Mwanadada Halima Mwende ndiye bingwa wa mashindano ya wanawake ya mchezo wa gofu yaliyofanyika mjini Nakuru baada ya kuwashinda wenzake 147.

  Halima alipata alama za jumla 44 katika mashimo 18, 23 katika mzunguko wa tisa wa kwanza na 21 katika mzunguko wa tisa nyingine.

  Nako kwa upande wa wanaume, mshindi wa kwanza alikuwa mkongwe wa mchezo wa gofu nchini Kenya Njuguna Njoka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako