• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matumizi kwenye utafiti na maendeleo nchini China kwa mwaka jana yaongezeka kwa asilimia 11.6

  (GMT+08:00) 2018-02-13 17:38:27

  Matumizi ya pesa kwenye utafiti na maendeleo R&B nchini China kwa mwaka jana yameongezeka kwa kasi wakati nchi hiyo iliendelea kuhimiza maendeleo yanayotokana na uvumbuzi,

  Takwimu zilizotolewa na Idara ya takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka jana matumizi hayo yalipanda kwa asilimia 11.6 kuliko mwaka juzi na kufikia dola za kimarakani bilioni 280.

  matumizi hayo yamechukua asilimia 2.12 ya Pato la Taifa la China GDP kwa mwaka jana.

  Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2015, China ilikuwa na watu milioni 5.35 wanaojishughulisha katika sekta ya utafiti na maendeleo, ikiwa ni nchi yenye watu wengi zaidi kwenye sekta hiyo duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako