• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Bidhaa zaidi ya 30 za maziwa zapewa alama wa S Rwanda

  (GMT+08:00) 2018-02-13 19:34:23

  Zaidi ya bidhaa 32 za maziwa kutoka kampuni 8 nchini Rwanda zimepewa alama ya ubora ya S na halmashauri ya viwango vya bidhaa nchinihumo,

  Bidhaa hizo zimepewa alama hiyo baada ya kukaguliwa na kupita viwango vinavyohiyajika vya ubora.

  RSB imesema idadi ya bidhaa zinazopewa alama ya S imeongezeka tangu mwaka 2017.

  Baadhi ya bidhaa zilizopewa alama hiyo ni kama vile maziwa, jibini na maziwa lala.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako