• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rwanda yaatarajia ukuaji wa kiuchumi wa asilimia 5.9

  (GMT+08:00) 2018-02-13 19:34:42

  Rwanda inatarajia kuwa na ukuaji wa kiuchumi wa hadi asilimia 5.9 mwaka huu w 2018.

  Hata hivyo waziri wa fedha na mipango ya kiuchumi Claver Gatete asilimia hiyo 5.2 ni ya chini ikilinganishwa na matarajio ya awali ya silimia 6.2.

  Katika robo ya tatu ya mwaka 2017 uchumi wa Rwanda ulikua kwa asilimia 8

  Waziri Gatete pia amesema bajeti ya mwaka 2017/18 imepandishwa kwa dola milioni 24.5 ili kutekeleza miradi ya miundo mbiu na sasa itakuwa dola bilioni 2.58.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako