• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Wakulima wa maua Kenya walalamikia bei ya juu ya uzalishaji

  (GMT+08:00) 2018-02-13 19:35:57

  Wakulima wa maua nchini Kenya wamelalamikia kuendelea kupanda kwa bei ya uzalishaji ambayo imepunguza faida yao kwenye sekta hiyo inayoajiri mamia ya watu.

  Wamesema hali imeathiriwa zaidi na kukatika kwa mara kwa mara kwa umeme hali inayowalazimu kutumia jenereta na hivyo kutumia fedha zaidi kununua mafuta.

  Wadau kwenye sekta ya maua wanatarajia mauzo ya juu kati ya leo na kesho wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wapendanao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako