• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tusk asema ufumbuzi unahitajika kwa ajili ya uhamiaji wa muda mrefu kwa Ulaya

  (GMT+08:00) 2018-02-14 07:54:30

  Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk amesema, uhamiaji wa muda mrefu bado ni changamoto inayoikabili Ulaya, na ufumbuzi wa suala hilo unapaswa kupatikana ili kuhakikisha Umoja wa Ulaya unashirikiana kushughulikia suala hilo bila ya kuibua tofauti. Baada ya kukutana na kansela wa Austria Sebastian Kurz, Tusk amesema alikuwa na maoni yanayofanana kwenye suala hilo kama kiongozi huyu wa Austria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako