• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Polisi ya Israel yapendekeza kumshtaki Netanyahu kwa kosa la rushwa

  (GMT+08:00) 2018-02-14 07:55:19

  Polisi nchini Israel imependekeza kumshtaki waziri mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kwa makosa ya rushwa, ulanguzi na kutotimiza ahadi katika kesi mbili tofauti za rushwa. Baada ya uchunguzi wa mwezi mmoja, polisi imekabidhi mapendekezo yao kwa mwanasheria mkuu wa Israel Avichai Mandelblit, ambaye ataamua kama atafungua kesi dhidi ya waziri mkuu huyo. Kwenye taarifa rasmi, polisi imesema wamehitimisha kuwa kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya Netanyahu katika kesi hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako