• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Muungano wa kimataifa waahidi kuendelea kuratibu mapambano dhidi ya kundi la IS

  (GMT+08:00) 2018-02-14 09:00:59

  Muungano wa kimataifa wa kupambana na kundi la IS umesisitiza ahadi ya kuendelea na uratibu ili kulishinda kabisa kundi hilo la kigaidi.

  Kwenye mkutano uliofanyika huko Kuwait, mawaziri wa mambo ya nje wa muungano huo wameahidi kuendelea kuchukua tahadhari kwa kushirikiana na idara za kikanda za kupambana na ugaidi, kujiendeleza kwa mujibu wa hali ya matishio na kulifuatilia kundi la IS na washirika wake.

  Mawaziri hao pia wamesema muungano huo utaendelea kuunga mkono kijeshi ili kulinda usalama na utulivu wa maeneo yaliyokombolewa nchini Iraq na Syria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako