• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ajali ya ndege ya Russia huenda imesabishwa na kuganda kwa avionics

  (GMT+08:00) 2018-02-14 09:15:38

  Wataalamu wa Kamati ya Kusimamia Usafiri wa Anga IAC ya Russia wamesema huenda ajali ya ndege ya Antonov-148 ya Russia ilisababishwa na kuganda kwa avionics zake.

  Taarifa iliyotolewa jana na Kamati hiyo iliyo chini ya Jumuiya ya Nchi Huru ya Umoja wa Sovieti imesema, wataalam wamekamilisha kuchambua data zilizomo kwenye visanduku vya kurekodi safari za ndege. Uchunguzi wa awali kuhusu data hizo zilizorekodiwa umeonesha kuwa, maendeleo ya hali maalumu kwenye safari yanaweza kusababishwa na data zenye makosa kwenye kasi ya safari katika viashiria vya rubani, ambazo zinahusika na kuganda kwa barafu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako