• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi, Kenya: Kocha kutoka Marekani ajitolea kuisadia timu ya Kenya inayojiandaa na mashindano ya jumuiya ya madola

    (GMT+08:00) 2018-02-14 10:47:45

    Kocha mkuu wa kituo cha mafunzo ya mchezo wa ngumi nchini Marekani, Sultan Hanif amejitolea kuifundisha timu ya taifa ya Kenya inayojiandaa na mashindano ya jumuiya ya madola kwa mwaka huu yatakayofanyika mwezi Aprili nchini Australia.

    Tangazo hilo limetolewa na Rais wa chama cha ngumi cha Kenya, na kwamba timu hiyo itaweka kambi nchini Cuba baada ya kukubaliana na chama cha ngumi cha Cuba.

    Hanif atasaidia kurekebisha mapungufu kwa mabondia wa Kenya ambayo anadai kuwa aliyaona waliposhiriki mashindano ya kimataifa ya India na wakishindwa kutokana na kutokuwa mahiri, hivyo atawafundisha mbinu muafaka na kubadilisha muonekano wa timu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako