• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi asisitiza kuhusu umuhimu wa kuendelea kupambana na umaskini licha ya ugumu wa kazi hiyo

  (GMT+08:00) 2018-02-14 17:05:19

  Rais Xi Jinping wa China amesisitiza umuhimu wa kuendelea kupambana na umaskini na uharaka wa kuondoa matatizo makubwa kwenye kupunguza umaskini, licha ya kuwepo kwa ugumu kwenye kazi hiyo.

  Rais Xi amesema hayo mjini Chengdu, mkoani Sichuan kwenye kongamano la kupunguza umaskini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako