• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kukabiliana na ugaidi kwa mtazamo wa jumuiya yenye hatma ya pamoja

  (GMT+08:00) 2018-02-14 17:06:58

  Mwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ma Chaoxu ametoa hotuba kwenye baraza la Umoja wa Mataifa akitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuwa na mtazamo wa jumuiya yenye hatma ya pamoja na kuimarisha ushirikiano na kukabiliana na ugaidi kwa pamoja kulingana na mabadiliko na sura mpya ya ugaidi.

  Ameongeza kuwa ili kukabiliana na aina mbalimbali za ugaidi, jumuiya ya kimataifa inapaswa kuwa na vigezo sawa kwa kupitia sera ya kutovumilia na kutojali, na China inapenda kukabiliana na tishio la ugaidi kwa ushirikiano na nchi nyingine, na kulinda amani na utulivu wa dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako