• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Ramaphosa achaguliwa kuwa rais mpya wa Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-02-16 16:58:26

    Bunge la Afrika Kusini limemchagua mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Bw. Cyril Ramaphosa kuwa rais mpya wa nchi hiyo akichukua nafasi ya rais Zuma aliyetangaza kujiuzulu juzi.

    Tarehe 8 mwezi Desemba mwaka jana, aliyekuwa makamu wa rais wa Afrika Kusini Bw. Ramaphosa alimshinda mgombea aliyeungwa mkono na Zuma, na kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama cha ANC. Kwa mujibu wa desturi atashiriki katika uchaguzi wa rais baada ya muda wa rais Jacob Zuma kumalizika mwaka 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako