• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya yanunua zaidi kutoka China

    (GMT+08:00) 2018-02-21 18:47:48

    Taakwimu za idara ya takwimu za kitaifa zinaonyesha kuwa thamani ya bidhaa inazonunua Kenya kutoka China imefikia karibu shilingi bilioni 400 mwaka 2017.

    Wakati huo huo uagiziaji kutoka india ulipungua kwa asilimia 17 hado desemba mwaka 2017.

    Mwaka 2017 uagiziaji kutoka India ulifikia shilingi bilionbi 170 ikilinganishwa na bilioni 205 za mwaka 2016.

    Lakini ununuzi kutoka China umepanda kwa asilimia 20 na kufikia shilingi bilioni 390 ikilinganishwa na bilioni 337 za mwaka 2016.

    Kenya hununua bidhaa nyingi kutoka China lakini ununuzi wa vifaa vya reli ya kisasa SGR unaonekana kuchangia ukuaji wa uagiziaji mwaka jana.

    Kenya pia hununua kutoka China bidhaa kama nguo, vifaa vya umeme, simu, pikipiki na samani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako