• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Tenisi: Wakenya wanawiri mashindano ya tenisi kwa wenye ulemavu

  (GMT+08:00) 2018-02-22 09:46:49

  Wachezaji wa Kenya wameonyesha mchezo wa kuridhisha katika mashindano ya tenisi ya BNP Paribas kwa wachezaji wenye ulemavu wanaotumia baiskeli katika uwanja wa klabu cha Nairobi, wakina dada wametwaa ubingwa na timu ya wanaume ikikamata nafasi ya tatu.

  Timu ya wanawake imetwaa ubingwa huo kwa kuitwanga timu ya Tanzania kwa seti 6-3, 6-2 na 6-0. Morocco wao wametwaa ubingwa kwa wanaume baada ya kuifunga Misri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako