• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UEFA Champions Ligi: Messi ainusuru Barcelona kupoteza kwa Chelsea

    (GMT+08:00) 2018-02-22 09:45:40
    Moja kati ya michezo ya UEFA Champions League ya hatua ya 16 bora msimu wa 2017/2018 iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ni pamoja na gemu ya Chelsea dhidi ya FC Barcelona iliyochezwa katika uwanja wa Stamford Bridge.

    Club ya Chelsea ikiwa nyumbani imeendeleza rekodi yake kwa kupata sare yake ya tatu mfululizo dhidi ya Barcelona, baada ya kufungana goli 1-1, goli la Chelsea likifungwa na Willian dakika ya 62 huku la Barcelona likifungwa na Lionel Messi dakika ya 75, hivyo Chelsea ana kazi ya kwenda kupindua mechi ya marudiano Nou Camp kwani ni lazima apate ushindi au sare ya kuanzia magoli mawili.

    Mechi nyingine Bayern Munich imeibamiza bila huruma Besikta goli 5-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako