• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za Magari: Ricciardo avunja rekodi ya majaribio ya mwanzo

    (GMT+08:00) 2018-02-22 09:46:38
    Daniel Ricciardo amevunja rekodi ya majaribio ya Reb Bull 2018 formula 1 katika majaribio yake ya mwanzo kutumia gari mpya ya red bull RB 14. Ricciardoametumia mwendo wa mzunguko wa kilomita 100 sawa na maili 62.

    Ricciardo amesema gari hiyo ni nzuri na anaamini linauwezo wa kupita katika mazingira yoyote hata mabaya hiyo ni alama ya mwanzo kabisa ya ubora wa gari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako