• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Rais Uhuu Kenyatta ahudhuria mkutano wa EAC

    (GMT+08:00) 2018-02-22 18:15:22

    Rais Uhuru Kenyatta amehudhuria kikao cha mkutano wa Afrika mashariki kuhusu ufadhili wa miundo msingi na huduma za afya ,kabla ya kuhudhuria kongamano la jumuia ya afrika mashariki wiki hii.

    Rais ataangazia hatua kubwa ambazo Kenya imepiga katika uwekezaji kwenye miundo msingi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

    Rais vile vile atazungumzia kuhusu mikataba ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya mataifa ya jumuia ya Afrika mashariki na jumuia ya Ulaya.

    Wanachama wa Eac wamekubaliana kutenga bajeti kubwa katika miundo msingi katika maeneo ya mipakani.

    Monica Azuba waziri wa uchukuzi na mwenyekiti wa baraza la uchukuzi amkesema miradi ya moiundo msingi inayotekelezwa kwa sasa itasaidia kuunganisha nchi wanachma na kuweka jukwaa imara la biashara za kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako