• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China siku zote inapinga ubaguzi wa rangi

    (GMT+08:00) 2018-02-22 18:50:55

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema kuwa, China siku zote inapinga aina yoyote ya ubaguzi wa rangi, na kama mtu akitaka kuchochea uhusiano kati ya China na nchi za Afrika, itakuwa kazi bure kunapokuwa na vitendo vya ubaguzi.

    Katika programu ya televisheni ya mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China, mwongozaji maalumu wa China ilijipaka rangi nyeusi usoni akiigiza Mwafrika. . Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vikalitamgua jambo hilo kuwa, ni ubaguzi wa rangi.

    Akikanusha hilo, Bw. Geng Shuang amesema kuwa, urafiki kati ya China na Afrika ni imara, ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Afrika una mafanikio makubwa. Uhusiano kati ya China na Afrika uko kivipi, na ushirikiano kati ya China na Afrika ni mzuri au la, nchi za Afrika na wananchi wao wanajua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako