• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka: Infantino amuahidi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa FIFA itapeleka uwekezaji mkubwa Tanzania.

    (GMT+08:00) 2018-02-23 08:21:44
    Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ameahidi kuwekeza katika miradi ya maendeleo ya mchezo huo nchini Tanzania. Infantino ametoa ahadi hiyo alipokutana na waziri mkuu wa Tanzania Kassim majaliwa ofisini kwake jana mara baada ya rais huyo wa FIFA kuongoza mkutano wa mwaka wa shirikisho hilo FIFA Excutive Summit, katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam. Ezekiel Mwambopo ameandaa ripoti ifuatayo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako