• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshindano ya Baiskeli barani Afrika: Wenyeji Rwanda wafanya vizuri

    (GMT+08:00) 2018-02-23 08:22:28
    Eritrea na wenyeji Rwanda, zimefanya vizuri katika mashindano ya mbio za baiskeli barani Afrika. Mchuano mkali ukifanyika baina ya waendesha baiskeli toka nchi hizo mbili kuwania ubingwa wa Afrika wa mbio za baiskeli yaliyokamilika jijini Kigali. Miongoni mwa wachezaji waliofanya vema ni pamoja na Amanuel Ghebreigzabhier (Eritrea), Joseph Areruya (Rwanda). Waendesha baiskeli wengine walioshiriki ni kutoka Uganda, DRC na Algeria. Huku shirikisho la mbio za baiskeli likimtanganza mwendesha baiskeli wa Rwanda Joseph Areruya kuwa kinara Afrika nzima.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako