• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kriketi: Kriketi Cranes yasambaza Upendo India

    (GMT+08:00) 2018-02-23 08:22:44
    Timu ya kriketi nchini Uganda (Cranes) imesambaza upendo kwa kutembelea na kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji nchini India ikiwa ni moja ya ziara yao kuelekea mashindano ya dunia ya Kriketi yanayotarajia kufanyika nchini Malaysia mwezi Mei mwaka huu.

    Timu hiyo imetembelea shule, hospitali na nyumba za wazee huku ikiahidi kupeperusha vizuri bendera ya Uganda kwenye mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako