• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Taliss: Timu 11 kuwania taji la kuogelea.

    (GMT+08:00) 2018-02-23 08:23:28
    Mashindano ya wazi ya kuogelea ya Taliss yanatarajia kuanza leo kwa kushirikisha waogeleaji kutoka vilabu 11 vya Tanzania na Zanzibar. Mashindano hayo yatafanyika kwenye bwawa la kuogelea la shule ya kimataifa ya Tanganyika (IST) Upanga jijini Dar es salaam, mbali ya klabu toka Zanzibar, vilevile yatashirikisha vilabu toka mikoa ya Arusha, Morogoro, Dar es salaam na Mwanza.

    Waogeleaji kutoka klabu watashindana katika staili mbalimbali ambazo ni freestyle, Breaststroke, Butterfly, Backstroke na Individual Medlay (IM) kwa umbali wa mita 50, 100 , 200 na 400.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako