• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yahakikisha usalama wa nafaka

    (GMT+08:00) 2018-02-23 18:53:40

    Ofisa wa wizara ya kilimo ya China leo hapa Beijing amesema kuwa, uzalishaji wa nafaka nchini China umefikia zaidi ya kilogramu bilioni 600 kwa miaka mitano mfululizo. Ongezeko la uagizaji wa nafaka kutoka nje na mavuno ya nafaka kwa miaka mingi zimeufanya usalama wa chakula upate uhakikisho.

    Mkurugenzi wa idara ya usimamizi wa kupanda mazao katika wizara ya kilimo ya China Bw. Zeng Xiande leo amesema kuwa, China inajitahidi kufanya mageuzi ya miundo kwa mujibu wa utoaji , na kuongeza nguvu wa kuboresha mifumo ya upandaji wa mazao. Kwa upande mmoja imepunguza utoaji wa mahindi yasiyohitajika, na kwa upande mwingine umeongeza utoaji wa maharange na nafaka licha ya mchele na ngano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako