• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda-sekta ya madini yaonyesha dalili za kufufuka

    (GMT+08:00) 2018-02-27 19:05:23

    Mapato ya mauzo ya madini Rwanda yalichangia kiasi kikubwa katika mapato ya ubadilishanaji wa kigeni katika kipindi cha mwaka 2017.

    Usafirishaji wa madini uliongezeka kwa zaidi ya asiilimia 210 hadi $248.5 milioni mwaka uliopita ikilinganishwa na $80.1 milioni katika mwaka uliopita.Maendeleo hayo mapya yamefufua matumaini miongoni mwa wadau wakati soko la madini likiendelea kupanuka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako