• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Sekta ya nyumba Uganda ilikabiliwa na hali ngumu 2017

    (GMT+08:00) 2018-02-28 19:18:40

    Sekta ya ujenzi wa nyumba nchini Uganda ilikuwa na upungufu wa bei kufikia mwisho wa mwaka 2017.

    Taakwimu za idara ya kitaifa nchini humo zinaonyesha kwamba gharama ya ujenzi ilipanda kwa angalau asilimia 0.6 kwa bidhaa kama vile, vyuma, dizeli na saruji.

    Mtaalam mkuu wa taakwimu kwenye sekta ya ujenzi Dick Wanasolo, anasema gharama kwa wajenzi wa nyumba pia imechangiwa pia na ukosefu wa barabara na maji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako