• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Bia ya Amstel yazinduliwa Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-02-28 19:19:06

    Kampuni ya pombe nchini Rwanda Bralirwa imezindua bidhaa mpya, bia aina ya Amstel.

    Hafla ya kuzinduliwa kwa bidhaa hiyo imefanyika mjini Kigali na kuhuduriwa na maafisa wa kampuni hiyo pamoja na wateja.

    Mkuu wa mauzo wa Bralirwa Peter Karadjov amesema bia mpya hiyo ambayo pia imezinduliwa nchini Kenya itauzwa kwa frac 600 katika vlabu vyote nchini humo.

    Amstel pia iko kwenye nchi nyingine 170 dunuani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako