• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kiwanda cha nyama Uganda bado hakijafanikiwa kuuza nje

    (GMT+08:00) 2018-02-28 19:19:46

    Kiwanda cha kuuza nyama nje ya nchi kutoka Uganda ambacho kilifunguliwa na rais Yoweri Museveni mwaka 2015 bado hakijauza bidhaa hiyo.

    Wasimamizi wa Kiwanda hicho cha Egypt-Uganda Food Security wamesema gharama ya juu ya umeme na kukosa maeneo ya karantini ya kutenga mifugo wagonjwa ndio sababu kuu za kukosa kuuza nje nyama.

    Takwimu zinaonyesha kwamba Uganda ina zaidi ya ng'ombe milioni 17 lakini pia wengi wa mifug hao hawajafikia viwango vya soko la kimataifa la nyama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako