• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Benki ya Co-operative yapata mkopo kutoka IFC

    (GMT+08:00) 2018-02-28 19:20:27

    Benki ya Co-operative nchini Kenya itapokea mkopo wa dola milioni 150 kutoka kwa shirika la fedha la kimataifa IFC.

    Mkopo huo ambao Co-operative italipa ndani ya miaka 7 inatarajia kukopesha makapuni na mashiririka madogo madogo.

    IFC imesema kwenye taarifa kwamba mkopo huo utawezesha Co-operative kuongeza uwezo wake wa kutoa huduma za kifedha za muda mrefu hasa kwa biashara za wastani na zile ndogo ndogo.

    Co-operative ina matawi 149 kote nchini Kenya na wateja wapatao milioni 6.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako