• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Wahudumu 800 wa maduka ya jumla ya Nakumatt kupigwa kalamu

    (GMT+08:00) 2018-03-01 19:23:30

    Usimamizi wa maduka ya jumla ya Nakumatt utaendelea tena hatua ya kupunguza wafanyikazi wake ili kukabiliana na changamoto za fedha.

    Peter Kahi mratibu wa maduka hayo amesema wanajizatiti kuhakikisha wanaendelea na biashara hiyo pamoja na kupunguza gharama na madeni.

    Biashara hiyo ya familia imeagizwa kusimamiwa na waratibu ili kuregesha madeni ya wadau baada ya kutangazwa na mahakama kuu kufilisika.

    Muungano wa wafanyikazi hata hivyo umeagiza wahudumu hao kulipwa fidia ya shilingi laki 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako