• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Wafanyikazi wa sekta ya viwanda wasisitiza nyongeza ya mishahara.

    (GMT+08:00) 2018-03-01 19:24:41

    Wafanyikazi wa sekta ya viwanda nchini Uganda wameitaka serikali kuongeza mishahara yao mwaka huu.

    Wafanyikazi hawa wameandaa mkutano wa dharura na wizara ya huduma za kitaifa pamoja na maafisa wa bodi ya chama cha wafanyikazi kuelewana juu ya nyonyeza hiyo kabla ya mwezi Aprili wkati wa kusomwa bajeti mpya.

    Katibu wa kudumu wa wizara huduma za umma nchini Uganda Christopher Werikhe amewaahidi wahudumu hao kwamba serikali itakubali ombi lao .

    Serikali ilitangaza kuongeza mishahara kwa wafanyikazi wa umma katika sekta ya afya na sayansi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako