• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatimaye Bukambu akamilisha uhamisho wake China

    (GMT+08:00) 2018-03-02 09:29:48
    Mshambuliaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Cedric Bakambu amekamilisha uhamisho kuhamia klabu ya Beijing Guoan ya China na kuwa mchezaji ghali zaidi kutoka Afrika kwa sasa.

    Klabu hiyo ya ligi kuu ya soka nchini Uchina, haijatangaza hadharani kiasi cha pesa alizonunuliwa mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 26. Lakini imesema ni zaidi ya dola milioni 90 za Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako