• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya kodi Kenya yapinga madai ya kuongeza kodi

    (GMT+08:00) 2018-03-02 19:45:09

    Mamlaka ya kodi nchini Kenya KRA imekanusha madai ya kuongeza ushuru kwa magari yanayoagizwa kutoka nje. KRA imesisitiza kuwa bado haijaongeza ushuru wowote na kwamba haifai kuwekewa lawam,a na waagiozaji magari.Taarifa hiyo ya KRA inakuja wakati ambapo waagizaji magari wamekuwa wakilalamikia ongezeko la silimia 43 ya ushuru wa kuingiza magari ambao wanadai umefanya bei ya magari kupanda zaidi.Haata hivyo kwenye taarifa yake, KRA imesema mara nyingi kuna aina mpya ya magari ambayo walikuwa hawajawekewa makadirio ya kodi na ndio maana wameweka katika viwango vyao vilivyoanza kutumika mwezi wa Februari. KRAA imeongeza kuwa kitengo cha kukadiria kodi na ushuru hufanya makadirio mapya mara mbili kwa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako