• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yaendelea kutesa wanyakua medali zote

  (GMT+08:00) 2018-03-05 09:25:50

  Wanariadha wa Kenya wamefanikiwa kuchukua medali zote za mbio za riadha za Kilimanjaro za kilomita 42 zilizofanyika jana mkoani Kilimanjaro Tanzania.

  Mshindi wa kwanza wa mbio hizo Cosmas Muteti wa Kenya alifanikiwa kutwaa medali ya dhahabu huku akiwaacha wengine umbali mrefu. Akikabidhi medali hizo, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo wa Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe amesema mashindano hayo yanaumuhimu mkubwa licha tu ya kuboresha afya lakini pia kukutanisha watu tofauti na kushirikiana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako