• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kuongezeka kwa Uagizaji wasukuma juu Upungufu wa Biashara nchini na kufikia sh trilioni 1.3

    (GMT+08:00) 2018-03-05 19:18:17

    Upungufu wa Biashara nchi Kenya, ulifika sh trilioni 1.3 mwaka jana kutoka sh bilioni 853.68 mwaka uliopita.

    Kwa sababu ya kuongezeka uagizaji wa bidhaa mara dufu na usafirishaji wa vifaa.

    pengo kati ya uagizaji na mauzo ya nje iliyoongezeka kwa Sh bilioni 277.25 ikilinganishwa na takwimu kutoka kwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya ya mwaka 2016.

    Uagizaji uliongezeka kwa asilimia 20.49 nakufikia Sh trilioni 1.725 , wakati mauzo ya nje yaliongezeka kwa asilimia 2.78 na kufikia Sh bilioni .54.13.

    Upungufu mkubwa unainyima Kenya fursa ya kujenga ajira zaidi kwa sababu makampuni ya ndani hupoteza kwa wazalishaji wa kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako