• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KCB kuanzisha program ya ujasiriamali wa vijana

    (GMT+08:00) 2018-03-05 19:19:58

    Benki ya Biashara ya KCB Rwanda inanzisha program ya franc milioni 50 ya ujasiriamali wa vijana ili, kuwezesha vijana ambao wameingilia biashara na hawana mtaji wa kutosha kuendeleza biashara zao.

    Programu hii, inaenga kutoa mafunzo kwa vijana 100 na ujuzi wa kuimarisha uwezo wao wa kushiriki na kuendesha biashara kwa ustawi na faida ili kutengeneza nafasi za ajira kwa vijana wengine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako