• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mshika rikodi wa zamani wa dunia wa mbio za robo maili, Sir Roger Bannister afariki dunia

  (GMT+08:00) 2018-03-06 12:35:39

  Mshika rikodi wa zamani wa dunia wa mbio za robo maili, Sir Roger Bannister amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Sir Roger Bannister, ni mtu wa kwanza kukimbia maili moja ndani ya dakika nne. Bannister ameweka historia hiyo baada ya kuandikisha muda wa dakika tatu na sekunde hamsini na tisa katika mbio za Iffley Road sports ground huko Oxford Mei 6 mwaka 1954, na rikodi yake ilidumu kwa siku 46.

  Katika michuano ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 1954, Bannister pia alishinda medali ya dhahabu kwa kukimbia umbali kama huo na baadaye kuwa daktari wa ubongo nchini Uingereza. Bannister aligunduliwa kuwa na ugonjwa wa Parkinson mwaka 2011.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako