• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Mnada wa Mgodi wa Buzwagi waahirishwa

    (GMT+08:00) 2018-03-06 19:58:35

    Serikali ya Tanzania imeuagiza Mgodi wa Buzwagi kuahirisha mnada wa mitambo na mashine zake uliokuwa ufanyike jana kutokana na kutokamilika kwa utaratibu wa kuufunga.

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila alisema Buzwagi walitoa tangazo la mnada bila kuwasiliana na Serikali, jambo ambalo ni kinyume cha utaratibu.

    Tofauti na sekta nyingine, Profesa Msanjila alibainisha utaratibu wa kufunga mgodi wowote nchini kwamba lazima waendeshaji watoe taarifa serikalini kwa kueleza sababu za kufanya hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako