• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Serikali za kautnti zapinga mswada mpya wa kodi

    (GMT+08:00) 2018-03-06 20:00:44

    Baraza la magavana nchini Kenya limepinga mpango wa serikali ya kitaifa wa kutaka kutoa mwongozo kuhusu ukusanyaji wa kodi kwenye kaunti.

    Mwenyekiti wa baraza hilo Josephat Nanok amesema wiara ya fedha inafaa kuunda taratibu za kusiadia kaunti kukusanya kodi zaidi na pia kuondoa utozaji mara dufu wa ushuru.

    Mswada inaopendekezwa na serikali kuu unawataka maafisa wa serikali za kaunti wanaosiamamia fedha kutoa ripoti kuhusu maeneo wanakokusanya kodi na malipo mengine yanayoingia kwenye serikali za kaunti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako