• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Shirika la Reli la Kenya (KRC) latangaza nafasi za mameneja

    (GMT+08:00) 2018-03-06 20:06:26

    Shirika la Reli la Kenya (KRC) limetangaza nafasi za karibu mameneja wake wote wakuu, siku mbili baada ya kushukishwa vyeo.

    Katika taarifa ya Jumatatu, shirika hilo lilisema wagombea wenye nia na waliohitimu lazima wajaze fomu ya maombi, na kutuma pamoja na wasifu kazi wao kwenye shirika hilo.

    Baadhi ya nafasi za juu za usimamizi ambazo zimetangazwa ni pamoja na usimamizi wa jumla, mbunifu msaidizi, udhibiti wa ukaguzi, msaidizi wa huduma za bodi na mameneja wa mahusiano ya umma.

    Urekebishaji huo wa ghafla, unahusishwa na utendaji mbaya wa reli hiyo ya kiwango cha wastani kutoka Mombasa hadi Nairobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako