• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Anthony Wambani mchezaji bora mwezi februari.

    (GMT+08:00) 2018-03-08 09:18:36
    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Bandari, Antony Wambani amepata tuzo ya Sportpesa ya mchezaji bora wa mwezi Februari ya ligi kuu ya Soka ya Kenya ya KPL msimu huu 2018.

    Mwanasoka huyo amechaguliwa na kupata tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, kiungo Chrispin Odour wa Mathare United na mshambuliaji Meddie Kagere wa K'ogallo Gor Mahia.

    Tuzo hiyo hutolewa na chama cha wanahabari za michezo nchini Kenya (SJAK).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako