• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Kenya kushiriki

    (GMT+08:00) 2018-03-08 09:18:58
    Majuma matatu yamesalia kwa michezo ya jumuiya ya madola ing'oe nanga jijini Gold Coast, Australia, timu ya Kenya inaendelea kujifua huku ikinuia kuendeleza matokeo mazuri katika riadha.

    Mshindi wa nishani ya fedha katika mbio za mita 400 Barani Afrika Alex Sampao ameelezea imani yake kuwa atanyakua nishani ya dhahabu, hii ikiwa ni mara yake ya kwanza kushiriki kwenye michezo hii.

    Michezo ya jumuiya ya madola mwaka huu inatarajiwa kuanza April 15 mwaka huu mjini Gold Coast Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako